25 FEBRUARI 2022
Karibu kusikiliza jarida ikiwa leo ni siku ya mada kwa kina kunaelekea nchini Uganda kuangazia kwa undani athari za kiuchumi za mafuriko ambayo yamedumu kwa miaka miwili sasa kwa wakazi hasa wa ziwa Albert baada ya kusababisha hasara kubwa ya mali.
Pia utasikia habari kwa ufupi zikisomwa na Flora Nducha na kubwa ni kuhusu msaada wa kibinadamu kwa wananchi wa Ukraine pamoja na Madagascar.