
“Ni dhahiri kwamba watu wa Ukraine na mamilioni ya wengine kote duniani hawawezi tena kumudu kuendelea kwa vita hii. Sasa kuliko wakati mwingine wowote ule wanahitaji kukomeshwa kwa uhasama na suluhu ya kisiasa ipatikane ili kumaliza vita."
Mkuu wa OCHA, Martin Griffiths akihutubia Baraza la Usalama, New York, Marekani, 15 Mei 2023.