RSS na Podikasti
RSS ni nini?
RSS ni mfumo wa kusambaza na kujumuisha kwa pamoja taarifa za kwenye wavuti kama vile vichwa vya habari.
Kutumia RSS, Wasambazaji wa taarifa kuptia wavuti wanaweza kutengeneza na kusambaza kwa urahisi taarifa zinazojumuisha kwa mfano viunganishi vya habari, vichwa vya habari na muhtasari.
Habari za UN inakupatia muunganiko wenye vichwa vya habari, pamoja na taarifa zenye migawanyo kwa kuzingatia mada na eneo au kanda.