Nimebahatika kuwa hai hadi leo, nashukuru Mungu na watafiti wa dawa
Ninashukuru sana watafiti, kwani mimi nimepona saratani, na hakika dawa zinafanya kazi. Ni kauli ya Lucy Githinji, mkazi wa jimbo la New Jersey nchini Marekani akizungumza baada ya matembezi ya hiari kwa ajili ya kuhamasisha jamii kuhusu saratani ya titi.