Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

22 Februari 2022

22 Februari 2022

Pakua

Karibu kusikiliza jarida ambapo leo miongoni mwa utakayosikiani pamoja na ziara ya Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC, kumuwakilisha Katibu Mkuu.

Naibu mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa na mratibu wa masuala ya kibinadamu nchini Somalia, Adam Abdelmoula, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuzisaidia haraka jamii zilizoathirika vibaya na ukame baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili katika maeneo yaliiyoathika zaidi Somaliland.

Na mengine mengi ikiwemo msaada wa IFAD kwa kijiji kilichohisi kimetengwa na dunia huko Bahia Brazil, mchango wa viongozi wa dini katika mapambano ya kupinga ukeketaji nchini Tanzania na Ujumbe wa WHO kwa wale wanaosema hawaogopi kuugua coronavirus">COVID-19. 

Audio Credit
Leah Mushi
Sauti
13'23"