APU YA HABARI ZA UN
Apu ya Habari za UN, lango lako la kupata habari duniani zilizothibitishwa kutoka Umoja wa Mataifa.
Utapata habari za uhakika kuanzia uchambuzi wa kina wa habari hadi mikutano mubashara ya Umoja wa Mataifa.
Aina ya Maudhui
Mahojiano na viongozi waandamizi wa Umoja wa Mataifa, hadi wanufaika wa miradi ya Umoja wa Mataifa mashinani. Muundo wake ni mpya kabisa na rahisi kutumia.
Maudhui katika lugha 9
Pokea taarifa katika lugha 9 na unaweza kupata tafsiri ya papo kwa papo kwa lugha uitakayo.
Unaweza pia kuunda ukurasa wako wa habari pendwa, bila kusahau kupakua taarifa na kuhifadhi ili baadaye kuzisoma au kutazama nje ya mtandao wa Intaneti.
Muundo ni mpya kabisa
Apu ya Habari za UN sasa ina muundo mpya na vipengele vilivyoboreshwa.
Pakua sasa
Mtazamo wa Kimataifa, Habari za Kiutu.