Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Syria

Syria

Msichana mdogo kutoka kitongoji cha Ghwayran akicheza katika mji wa Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria
© UNICEF

“Lazima tuzingatie kurejesha utu wa binadamu, uaminifu, na mshikamano wa kijamii. Hii lazima ianze na kushughulikia hali ya kukata tamaa katika kambi za wakimbizi wa ndani na vituo vya kizuizini kote nchini Syria na Iraq.”

Vladimir Voronkov, mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na ugaidi.