Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Burundi

Kafando ahitimisha ziara Burundi aelekea Dar es salaam

Mjumbe  Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  nchini Burundi   Michel Kafando amehitimisha ziara yake ya wiki nzima nchini humo iliyomkutanisha na  wawakilishi  wa serikali, vyama vya siasa na mashirika ya kiraia ambapo amewachagiza washiriki kwenye  awamu mpya ya mazungumzo ambayo yanatarajiwa kuitishwa mwishoni mwa mwezi huu  yakisimamiwa na Jumuiya ya Afrika ya Mashariki. Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani KIBUGA ametutumia taarifa hii kutoka Bujumbura, Burundi.

Sauti
1'45"