Wajibu wa kulinda ni muhimu sasa kuliko wakati mwingine wowote:Guterres
Majadiliano kuhusu wajibu wa kulinda maisha ya watu ni muhimu sana leo hii kuliko wakati mwingine wowote, wakati dunia ikijitahidi kwa pamoja kuwalinda watu hao dhidi ya mauaji ya kimbari, uhalifu wa vita, mauaji ya kikabila na uhalifu dhidi ya ubinadamu.