Tukijifungulia nyumbani tunatumia miti kukata kitovu- Nyibol
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani, UNICEF lina hofu kubwa kuwa iwapo hatua hazitachukuliwa, kiwango cha vifo vya watoto wachanga hususan wale ambao hawajatimiza mwaka mmoja kitasalia kikubwa hasa kwa nchi za Afrika zilizo kusini mwa jangwa la Sahara.