Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yatoa wito wa usaidizi kwa watoto wa Sudan Kusini wakati eneo hilo linapokuwa huru

UNICEF yatoa wito wa usaidizi kwa watoto wa Sudan Kusini wakati eneo hilo linapokuwa huru

Msaada wa Kibinadamu

Taarifa ya UNICEF iliyotolewa leo katika miji ya New York, Marekani, Nairobi, Kenya na Juba, Sudan Kusini inasema takwimu hizo zinadhihirisha kuwa matumaini ya kwamba uhuru wa nchi hiyo ungalileta nuru mpya kwa watoto yametoweka.