Virusi vya Corona kama dharura ya afya ya umma:Taarifa za UN News Kiswahili
Mlipuko uliripotiwa mara ya kwanza Wuhan China Desemba 31, 2019

Ukurasa huu unaleta pamoja taarifa kuhusu muongozo kutoka kwa Shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO na Umoja wa Mataifa kuhusu mlipuko wa sasa wa virusi vya corona au COVID-19, ambavyo viliripotiwa mara ya kwanza Wuhan, China mnamo Desemba 31, 2019. Tafadhali tembelea ukurasa huu kupata taarifa za kila siku. WHO inafanya kazi kwa karibu na wataalam wa kimataifa, serikali na wadau kupanua ujuzi wa kisayansi kuhusu virusi hivi vipya, kutokana na jinsi vinavyosambaa na athari zake  na kutoa ushauri kwa nchi na watu, kuhusu hatua za kuchukua kwa ajili ya kulinda afya na kuzuia kuenea kwa mlipuko.

Mustakbali wa wanafunzi wakimbizi wamulikwa kati ya changamoto ya COVID-19, Uganda

Baadhi ya hatua zilizochukuliwa na nchi nyingi duniani kama sehemu ya njia za kudhibiti kuenea kwa COVID-19, zimeathiri vibaya Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs likiwemo lile namba nne linalochagiza fursa za elimu bora.

Sauti -
3'57"

Maskini walipwe kipato cha msingi kila mwezi kuepusha COVID-19- UNDP

Umoja wa Mataifa umesema kuwa kuwapatia watu maskini zaidi duniani kipato cha kujikimu, TBI,  kunaweza kupunguza kasi ya kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19.

Harakati za kupambana na COVID-19 zazidisha machungu kwa wayemen

Nchini Yemen, vita vya wenyewe kwa wenyewe na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19, vimeleta taabu kwa wananchi huku familia zikihaha kujinusuru na Umoja wa Mataifa ukiingilia kati kusaidia. Assumpta Massoi anaarifu zaidi.

Sauti -
2'49"

Guterres: Ulimwengu wa Kiarabu ni wakati wa kugeuza janga la COVID-19 kuwa fursa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameuambia ulimwengu wa nchi za Kiarabu kwamba sasa ni wakati wa kugeuza janga la virusi vya Corona au COVID-19 kuwa fursa ya kujijenga upya na kwa ubora zaidi. Jason Nyakundi na maelezo zaidi.

Sauti -
2'30"

23 JULAI 2020

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameuambia ulimwengu wa nchi za Kiarabu kwamba sasa ni wakati wa kugeuza janga la virusi vya Corona au COVID-19 kuwa fursa ya kujijenga upya na kwa ubora zaidi. Watoto zaidi ya 32 wamepoteza au kutenganishwa na mzazi mmoja au wote kutokana na Ebola

Sauti -
12'51"

Ulimwengu wa Kiarabu ni wakati wa kugeuza janga la COVID-19 kuwa fursa: Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameuambia ulimwengu wa nchi za Kiarabu kwamba sasa ni wakati wa kugeuza janga la virusi vya Corona au COVID-19 kuwa fursa ya kujijenga upya na kwa ubora zaidi. 

Ushirikiano katika kodi, fursa za kidijitali na udhibiti maliasili ni ufunguo wa kujikwamua baada ya COVID-19:UN

Wataalam ambao ni wajumbe wa Baraza la ushauri kwa ajili ya masuala ya kiuchumi na kijamii la Umoja wa Mataifa (DESA) leo wamechapisha ripoti inayopendekeza mambo ya kuzingatia kwa ajili ya kujikwamua vyema baada ya janga la corona au COVID-19 duniani.

Mmenikirimu nami nalipa fadhila kwa kuwashonea barakoa:Mkimbizi Hamidullah 

Kutana na mkimbizi Hamidullah mwenye umri wa miaka 23.

Sauti -
1'47"

Mmenikirimu nami nalipa fadhila kwa kuwashonea barakoa:Mkimbizi Hamidullah 

Kutana na mkimbizi Hamidullah mwenye umri wa miaka 23. Baada ya kukimbia machafuko Afghanistan na kupokelewa na kukirimiwa na Kijiji cha Pessat-Villeneuve nchini Ufaransa kwa msaada wa shirika la Umoja wa  sasa analipa fadhila kwa kuisaidia jamii inayomuhifadhi kupambana na janga la corona au COVID-19.

Wanawake wachimba chumvi waomba msaada, walalamikia vikwazo vya kuzuia COVID-19, Uganda

Nchini Uganda,katika eneo la magharibi mwa nchi hiyo kandoni mwa ziwa Albert, wanawake wa eneo hilo wanaoegemea biashara ya uchimbaji na uuzaji chumvi maarufu kwa jina la chumvi ya Kibiro ambayo pamoja na matumizi ya kawaida ya mapishi hutumika pia katika dawa za asili wamejikuta katika wakati mg

Sauti -
4'