10 Machi 2022
Hii leo jaridani mwenyeji wako Flora Nducha anamulika:
1. Ripoti ya Benki ya Dunia na UNICEF kuhusu kutwama kwa vipato kwenye familia zenye watoto kutokana na janga la COVID-19.
2. Kunasuliwa kutoka vitani kwa watoto nchini Sudan Kusini.
3. Huko Bangladesh mradi wa IFAD wasababisha jamii kushangaa mwanamke kuendesha gari.