Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

08 Machi 2022

08 Machi 2022

Pakua

Hii leo jaridani ni siku ya wanawake tukimulika ujumbe kuanzia ngazi ya Umoja wa Mataifa wa kutaka ujumuishaji wa wanawake katika ngazi zote za maendeleo ili kufanikisha ajenda 2030 ya maendeleo endlevu. Huko Uganda wakimbizi na wenyeji kwenye makazi ya wakimbizi ya Kyangwali ni shamrashamra na ujumbe mahsusi wa siku ya leo ya wanawake duniani. Kutoka Kigoma Tanzania nako wanawake wa mradi wa unaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa na wadau wapaza sauti ya jinsi walivyojikomboa kiuchumi halikadhalika mashinani inakupeleka Sudan Kusini kuangazia wanawake na ulinzi wa amani na bila kusahau kuna taarifa kuhusu Ukraine na Urusi juu ya ubinywaji wa haki. Karibu na mwenyeji wako ni Leah Mushi.

Audio Credit
Leah Mushi
Audio Duration
13'59"