Mradi wa wakimbizi kutengeza sabuni Za'atari unafanyika wakati muafaka:UNHCR
Kwa kutumia bidhaa za asili, wanawake wakimbizi kwenye kambi kubwa zaidi nchini Jordan wanatengeneza sabuni na kugawa kwa familia zilizo na mahitaji kwa ajili ya kusaidia katika kuzuia kuenea kwa virusi vya corona au COVID-19.