Kwa ajili ya usalama wao, wakimbizi wa ndani 3500 wahamishiwa kambi nyingine Sudan Kusini:UNMISS
Umoja wa Mataifa umefanikiwa kuwahamisha wakimbizi wa ndani takriban 3,500 kutoka kituo cha ulinzi wa raia cha Umoja wa Mataifa mjini Juba hadi na kuwapeleka palipo na usalama zaidi kwa ushirikiano wa mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani Sudan Kusini- UNMISS na mashirika ya misaada ya kibinadamu.