Wanawake 80 ni miongoni mwa polisi 160 kutoka Rwanda waliowasili UNMISS :
Kikosi kipya cha maafisa wa polisi kutoka Rwanda kikiwa na wanawake 80 na wanaume 80 kimewasili nchini Sudan Kusini kujiunga na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo UNMISS.