Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanaombeza Kofi Annan hawafahamu utendaji wa UN- Dkt. Salim

Kofi Annan alipotembelea wodi ya watoto ya hospitali ya Zinder huko Niger mwezi Agosti 2005 wakati akiwa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa.
UN / Evan Schneider
Kofi Annan alipotembelea wodi ya watoto ya hospitali ya Zinder huko Niger mwezi Agosti 2005 wakati akiwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Wanaombeza Kofi Annan hawafahamu utendaji wa UN- Dkt. Salim

Amani na Usalama

Watu mbalimbali waliowahi kufanya kazi na Kofi Annan, wameendelea kuelezea majonzi yao sambamba na kile ambacho wanamkumbuka nacho. Miongoni mwao ni Dkt. Salim Ahmed Salim kutoka Tanzania

Kofi Annan alikuwa kiongozi thabiti kutoka Afrika ambaye katu hakuwahi kufanya jambo la kuaibisha bara lake, amesema mwanadiplomasia nguli kutoka Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim. Taarifa zaidi na Grace Kaneiya.

(Taarifa ya Grace  Kaneiya)

Nats..

Dkt. Salim Ahmed Salim kutoka Tanzania ambaye amewahi kuwakilisha nchi yake kwenye Umoja wa Mataifa na pia kuwa Rais wa Baraza Kuu la umoja huo, akimwelezea hayati Annan wakati wa mahojiano yake na idhaa hii leo asubuhi.

Dkt. Salim Ahmed Salim (kushoto) akiwa na Jan Eliasson wakati ni wajumbe wa wa AU na UN kwa mzozo wa Darfur

(Sauti ya Dkt. Salim Ahmed Salim)

Na vipi ambao wanabeza kuwa Kofi Annan alishindwa kuzuia mauaji  ya Rwanda wakati akiwa Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa?

(Sauti ya Dkt. Salim Ahmed Salim)

Na kipi kifanyike kusongesha mchango wake?

(Sauti ya Dkt. Salim Ahmed Salim)