Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

DR Congo

Flora Nducha wa UN NEWS Kiswahili
Picha ya Patrick Newman/UN News Kiswahili

Leo Umoja wa Mataifa

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo tunaanzia huko DR Congo, ukiukwaji wa haki za binadamu wafurutu ada.

Nchini Uganda, milipuko ya homa ya Kongo na Bonde la Ufa yarejea.

Walinda amani wanapogeuka mabwana mifugo Sudan Kusini

Kikosi cha jeshi la India kilichoko  mkoa wa Malakal Sudan Kusini, kama sehemu ya kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kimetoa msaada wakutibu mifugo ya wafugaji wa eneo la Akola,lililoko umbali wa kilomita sitini na tano, kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa jimbo hilo.