Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN

METHALI: "KUKU HAVUNJI YAILE"

Katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa methali "KUKU HAVUNJI YAILE" na mchambuzi wetu ni  Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA.

Audio Duration
1'5"
UN

Methali, "Mwendapole Hajikwai"

Karibu kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "Mwendapole Hajikwai" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.
 

Sauti
53"
UN

Neno "BAKI"

karibu kujifunza Kiswahili  kupitia neno la wiki, leo tunapata ufafanuzi wa maana za neno "BAKI" mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA 

UN

Neno “MCHEMUO”

Karibu kujifunza kiswahili kupitia neno la wiki, leo tuko BAKITA , Baraza la Kiswahili Tanzania kwa mtaalam Onni Sigalla , Mhariri mwandamizi akitufafanulia maana za neno “MCHEMUO”

Sauti
37"