Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke
Katika kujifunza Kiswahili leo tunapata ufafanuzi wa methali, "Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke." na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.