Neno "DOKOA"
kutoka nchini Uganda, Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anafafanua maana za neno "DOKOA"
kutoka nchini Uganda, Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anafafanua maana za neno "DOKOA"
Katika kujifunza Kiswahili, leo tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "Ulivyoligema utalinywa" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.
kujifunza lugha ya Kiswahili ambapo leo tunapata ufafanuzi wa maana za neno "KITAMBI" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA.
Hii leo katika kujifunza lugha ya kiswahili, Onni Sigalla Mhariri Mwandamizi katika Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya methali Zingwizingwi lipe nguo ulione mashauo. Karibu!
Leo katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa methali, "Mti mkuu ukigwa wana wa nyuni huyumba" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.
Katika kujifunza Kiswahili, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya msemo "KINGA NA KINGA NDIPO MOTO UWAKAPO" .
Leo katika kujifunza kiswahili, tunapata ufafanuzi wa neno "SHANGINGI" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania , BAKITA.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya maneno "PEMBUA, NYAMBUA NA CHAGUA.
Katika kujifunza Kiswahili leo tunapata ufafanuzi wa methali, "Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke." na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.
katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa maana na matumizi ya neno "MUHUNI" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.