Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno "BAKI"

Neno "BAKI"

Pakua

karibu kujifunza Kiswahili  kupitia neno la wiki, leo tunapata ufafanuzi wa maana za neno "BAKI" mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA 

Audio Credit
Onni Sigalla
Photo Credit
UN