Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

NENO LA WIKI - METHALI: Ndugu chungu jirani mkungu

NENO LA WIKI - METHALI: Ndugu chungu jirani mkungu

Pakua

Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, Dkt. Mwanahija Ali Juma ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA anafafanua maana ya methali Ndugu chungu, jirani mkungu! 

Audio Credit
Leah Mushi/ Mwanahija Ali Juma
Audio Duration
54"
Photo Credit
UN