Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki- Methali: Lila na Fila havitangamani

Neno la Wiki- Methali: Lila na Fila havitangamani

Pakua

Leo katika kujifunza Kiswahili Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt. Mwanahija Ali Juma anafafanua maana ya methali "LILA NA FILA HAVITANGAMANI."

Audio Credit
Anold Kayanda/Dkt. Mwanahija Ali Juma
Audio Duration
44"
Photo Credit
UN