Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Methali: Imara ya Jembe kaingoje shambani

Methali: Imara ya Jembe kaingoje shambani

Pakua

Leo katika kujifunza Kiswahili tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "IMARA YA JEMBE KAINGOJE SHAMBANI" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.

Audio Credit
UN News/ Josephat Gitonga -mtaalam wa lugha toka Kenya
Audio Duration
1'20"
Photo Credit
UN