Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN

Neno la wiki-UZINZAJI

Katika kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa neno"UZINZAJI" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA. 

Sauti
49"
UN

Neno la Wiki-Sisisi

Leo katika neno la wiki tuungane na mhariri mwandamiziwa Baraza la Kiswahili, la taifa Tanzania BAKITA, Onni Sigalla katika kujifunza Kiswahili akitufafanulia maana za Neno"SISISI".

Sauti
1'3"
UN

Neno la Wiki- Wema hauozi

Leo tunapata ufafanuzi wa methali, "Wema hauozi" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi katika kituo cha tafsiri na ukalimani nchini Kenya.

 

Audio Duration
1'4"
UN News Kiswahili

Neno la wiki Chaza

Leo tunapata ufafanuzi wa neno "CHAZA" na mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA.
 
 

Sauti
51"