Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki- Methali: Hiari yashinda utumwa

Neno la wiki- Methali: Hiari yashinda utumwa

Pakua

Je wafahamu maana ya methali hiari yashinda utumwa? Kama la, hii leo mchambuzi wetu Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana yake.

Audio Duration
1'12"
Photo Credit
UN