Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

"NYIMBO ZA KUFUNZWA HAZIKESHI NGOMA”

"NYIMBO ZA KUFUNZWA HAZIKESHI NGOMA”

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "NYIMBO ZA KUFUNZWA HAZIKESHI NGOMA”

Audio Credit
Josephat Gitonga
Sauti
1'
Photo Credit
UN