Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN

Methali, "Mwendapole Hajikwai"

Karibu kujifunza Kiswahili , leo tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "Mwendapole Hajikwai" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.
 

Sauti
53"
UN

Neno "BAKI"

karibu kujifunza Kiswahili  kupitia neno la wiki, leo tunapata ufafanuzi wa maana za neno "BAKI" mchambuzi wetu ni   Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA 

UN

Neno “MCHEMUO”

Karibu kujifunza kiswahili kupitia neno la wiki, leo tuko BAKITA , Baraza la Kiswahili Tanzania kwa mtaalam Onni Sigalla , Mhariri mwandamizi akitufafanulia maana za neno “MCHEMUO”

Sauti
37"
UN

Methali "Asiye na kumi ana moja"

Karibu kujifunza Kiswahili hii leo tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "Asiye na kumi ana moja" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.

Sauti
51"
UN

Neno "DOKOA"

kutoka nchini Uganda,  Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo anafafanua maana za neno  "DOKOA"

 

Sauti
1'7"
UN

"Ulivyoligema utalinywa"

Katika kujifunza Kiswahili, leo tunapata ufafanuzi wa maana ya methali, "Ulivyoligema utalinywa" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani.

Sauti
58"
UN

Neno "KITAMBI"

kujifunza lugha ya Kiswahili ambapo leo tunapata ufafanuzi wa maana za neno "KITAMBI" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , BAKITA.

Sauti
51"