Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Habari Mpya

Uhamishwaji wa wahamiaji wa nchi ya tatu ambao walikuwa wamekwama katika kituo cha mapokezi Misrata, Libya. (Maktaba)
IOM

Mazingira ya Libya yalikuwa tete ndio maana nikarejea nyumbani: Mhamiaji Mohamed

Kutana na muhamiaji Mohamed Ahmed Bushara aliyekwenda kusaka maisha Libya miaka mitano iliyopita lakini hali ngumu, ubaguzi , machafuko na kuwekwa rumande vilimkatisha tamaa ya kukimbiza ndoto hiyo na akakata shauri kurejea nyumbani Sudan kushika ustaaranu mwingine kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM na Muungano wa Ulaya. 

Sauti
2'22"