Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki: MAUJA

Neno la wiki: MAUJA

Pakua

Leo katika neno la wiki mchambuzi wetu Onni Sigalla, ambaye ni Mhariri Mwandamizi kutoka Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anachambua maana ya neno MAUJA. 

Audio Credit
Assumpta Massoi/Onni Sigalla
Audio Duration
1'
Photo Credit
UN