Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

"Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaa ulimi"

"Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaa ulimi"

Pakua

Katika kujifunza Kiswahili leo tunapata ufafanuzi wa methali, "Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaa ulimi" na mchambuzi wetu ni Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya katika kituo cha tafsiri na ukalimani.

Audio Credit
Josephat Gitonga
Audio Duration
59"
Photo Credit
UN