Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki: Methali- Werevu mwingi huondoa maarifa

Neno la Wiki: Methali- Werevu mwingi huondoa maarifa

Pakua

Leo katika Neno la wiki tunaye Mwenyekiti wa idara za Kiswahili katika vyuo vikuu Afrika Mashariki Aida Mutenyo akiwa Kampala Uganda anatufafanulia maana ya methali"WEREVU MWINGI HUONDOA MAARIFA"

Audio Credit
UN News/ Assumpta Massoi/Ida Mutenyo
Audio Duration
50"
Photo Credit
UN