Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno La Wiki

UN

Neno la Wiki- Ugua Pole

Je wafahamu maana ya ugua pole? Kauli ambayo mara nyingi mgonjwa hupatiwa na baadhi wanahoji kwa nini augue pole? Sasa leo Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua kauli hiyo "UGUA POLE"

Audio Duration
44"