Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki: Methali- Mwenye shoka hakosi kuni

Neno la Wiki: Methali- Mwenye shoka hakosi kuni

Pakua

Leo katika kujifunza lugha ya Kiswahili tunakwenda Kenya kwake mchambuzi wetu Josephat Gitonga, mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi akifafanua maana ya methali, “mwenye shoka hakosi kuni”.

Audio Credit
Leah Mushi/Josephat Gitonga
Audio Duration
2'5"
Photo Credit
UN