Raia wa Sudan Kusini asimulia alivyobakwa baada ya mumewe kuuawa
Hali bado si shwari kwenye jimbo la Unity nchini Sudan Kusini, jambo linalofanya maelfu ya raia wa kukimbia mapigano huku wakikumbwa na madhila ikiwemo kubakwa.
Hali bado si shwari kwenye jimbo la Unity nchini Sudan Kusini, jambo linalofanya maelfu ya raia wa kukimbia mapigano huku wakikumbwa na madhila ikiwemo kubakwa.
Miaka 55 iliyopita bara la Afrika lilizindua chombo chake kikileta pamoja nchi zilizokuwa zimepata uhuru. Hii leo ni miaka 55!
Lugha yako ndio mkombozi wako! Ikiwa leo ni siku ya Afrika, lugha za asili za Afrika nazo zimepigiwa chepuo na miongoni mwao ni lugha ya Kiswahili ambayo barani Afrika pekee inaongoza kwa kuzungumzwa na watu wengi zaidi, idadi ikitajwa kuwa ni zaidi ya watu milioni 200.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza mwelekeo wake mpya kuhusu udhibiti wa silaha katika juhudi za kutokomeza silaha za nyuklia pamoja na silaha zingine zinazoweza kusababisha maangamizi dunia kutokana na makosa iwe ya kiufundi, kielektroniki au ya kibinadamu.
Shirika la Afya ulimwenguni WHO na Benki ya dunia wameunganisha jitihada zao na kuunda bodi itakayosaidia kuimarisha usalama wa afya duniani.
Huku kasi ya teknolojia ya mawasiliano ikizidi kuongezeka, baadhi ya watu wamekuwa wakidhani kuwa sasa kifo cha huduma za posta kimewadia. Hata hivyo ripoti ya leo inaonyesha kuwa posta na intaneti vitaendelea kuwa sambamba na kuhitajiana zaidi na zaidi.
Shaka na shuku rasi ya Korea baada ya mazungumzo yenye lengo la kusaka suluhu kusitishwa, huku Korea Kaskazini ikitangaza kufunga eneo la majaribio ya silaha
Balozi mwema wa UNICEF, Priyanka Chopra amezuru kambi ya wakimbizi wa Rohingya huko Bangladesh na kutoa wito kwa usaidizi zaidi kwa watoto wa wakimbizi hao ambao maisha yao yako taabani.
Baada ya pande kinzani nchini Sudan Kusini kuridhia sitisho la mapigano, IGAD imezitaka kusimamia ahadi hiyo ili hatimaye kuwepo na amani ya kudumu nchini humo.
Ugonjwa wa Ukimwi pamoja na kusababisha machungu kwa binadamu, pia husababisha kupotea kwa mabilioni ya mapato ya fedha kutokana na vifo vya mamia ya maelfu ya wafanyakazi ambavyo vinaweza kuzuilika kwa matibabu.