Usajili wa alama za mwili Juba kuwanufaisha wakimbizi wa ndani:IOM
Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM, kupitia timu ya kitengo cha ufuatiliaji wa wakimbizi wa ndani (DTM) leo limehitimisha zoezi la usajili wa wakimbizi wa ndani kwa kutumia alama za mwili kama vidole na macho katika baadhi ya vituo nchini Sudan Kusini.