Ufadhili wa Benki ya dunia kwa nishati ya jua, nuru kwa wafanyabiashara Somalia
Kupitia ufadhili wa Benki ya Dunia kwa Mfuko wa Kichocheo cha Biashara Somalia, SBCF, kampuni ya Solargen kupitia umeme wa nguvu ya jua imefanikiwa kuleta unafuu wa kimaisha kwa wananchi wa Warsheikh, katika pwani ya Somalia.