Nchi za Afrika zilizo na migogoro ziige mfano wa Liberia: Opande
Nchi za Afrika zilizo katika machafuko na vita vya wenyewe kwa wenyewe zimeshauriwa kufuata nyazo za Liberia ambayo baada ya miongo ya vita na madhila ya hali ya juu sasa inajivunia matunda ya amani.