Sudan: Mamilioni wakikabiliwa na njaa, wahudumu wa misaada waomba ruhusa ya kufikisha misaada
Njaa nchini Sudan “imekaribia sana” ikiwa mashirika ya misaada yataendelea kuzuiwa kutoa msaada, wameonya wahudumu wa misaada wa Umoja wa Mataifa leo Mei 31.