Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Habari Mpya

Ukatili wa kijinsi umeongezeka nchini Ukraine wakati huu wa vikwazo kwa ajili ya kupambana na COVID-19.
UNDP-Ukraine/Anastasia Vlasova

UNFPA yaisaidia Ukraine kuzuia na kukabiliana na ukatili wa kijinsia wakati wa COVID-19

Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA ambalo pia limejikita katika masuala ya kijinsia na afya ya uzazi limesema janga la corona au COVID-19 limekuwa ni kuongeza msumari wa moto juu ya kidonda kwa  wanawake na wasichana milioni 11 wanaopitia ukatili wa kijinsia GBV nchini Ukraine na sasa linashirikiana na programu za serikali kuzuia na kukabiliana na ukatili huo

Sauti
2'47"