Wasifu wa Kofi Annan
Kofi Annan, raia wa Ghana ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa 7 Umoja wa Mataifa kutoka mwaka 1997 hadi 2006.
Kofi Annan, raia wa Ghana ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa 7 Umoja wa Mataifa kutoka mwaka 1997 hadi 2006.
Kufuatia kitendo cha baadhi ya wasafirishaji haramu wa binadamu huko Afrika Magharibi, kudaiwa kutumia nguvu za giza au JUJU kama tishio kwa wale wanaosafirishwa, shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM limekutana na msemaji wa chifu mmoja ambaye amechukua hatua kuondokana na fikra hizo potofu.
Kamishna Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Zeid Ra’ad Al Hussein amesema machungu wanayopitia wahanga wa ukiukwaji wa haki za binadamu ni shinikizo kubwa kwake yeye kuzungumza bila woga.
Huduma za matibabu kwa wanyama zinazotolewa na walinda amani wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini, zimeleta nuru kwa wakazi ambao wanategemea mifugo yao kwa ajili ya lishe na kujipatia kipato.
Wiki ya unyonyeshaji mtoto maziwa ya mama ikianza hii leo, Umoja wa Mataifa umesema utashi wa kisiasa ndio muarobaini wa kufanikisha suala la kuwezesha mtoto kunyonya maziwa ya mama yake punde tu anapozaliwa.
Serikali ya Tanzania na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula diuniani WFP, wameafikiana kuhusu ubia ambao utawanufaisha wakulima wadogo wadogo wa Tanzania na maelfu ya watu wanaohitaji na kupokea msaada wa chakula wa WFP barani Afrika.
Mkakati wa kimataifa kuhusu uhamiaji salama na wa mpangilio umekamilishwa hii leo kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani .
Jopo la ngazi ya juu lenye jukumu la kuhakikisha kuwa maendeleo ya teknolojia ya kidijitali yananufaisha wakazi wote wa dunia, limetangazwa hii leo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres.
Uzazi wa mpango sio tu ni suala la haki za binadamu bali pia ni kitovu cha uwezeshaji wa wanawake, kupunguza umasikini na kufikia malengo ya maendeleo endelevu SDG’s
Wakimbizi takribani milioni moja wa kabila la Rohingya kutoka Myanmar ambao sasa wamekimbilia Bangladesh kutokana na mateso huko nyumbani , jumapili hii watapa ugeni wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres.