Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WFP na serikali ya Tanzania kushirikiana kuwainua wakulima na wanaohitaji msaada wa chakula

Mkurugenzi Mtendaji wa WFP, David Beasley
UNIC Bogota
Mkurugenzi Mtendaji wa WFP, David Beasley

WFP na serikali ya Tanzania kushirikiana kuwainua wakulima na wanaohitaji msaada wa chakula

Msaada wa Kibinadamu

Serikali ya Tanzania na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula diuniani WFP, wameafikiana kuhusu ubia ambao utawanufaisha wakulima wadogo wadogo wa Tanzania na maelfu ya watu wanaohitaji na kupokea msaada wa chakula  wa WFP barani Afrika.

Akizungumzia ushirika huo baada ya kukutana na Rais wa Tanzania John Pombe Maguful , Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi, mkurugenzi mtendaji wa WFP David Beasley amesema

 (SAUTI YA DAVID BEASLEY)

 Naye Rais Magufuli amesema mpango huo ukianza utakuwa Ushindi kwa wakulima wa Tanzania na WFP

(SAUTI YA JOHN MAGUFULI)

 Bwana Beasley yuko ziarani nchini Tanzania kwa ajili ya kuzuru miradi mbalimbali inayoendeshwa na WFP nchini humo.