Mtoto mmoja mhamiaji hufariki dunia au kupotea kila siku, UN yataka ulinzi zaidi
Takribani watoto 1,600 waliripotiwa kufariki dunia au kupotea kati yam waka 2014 hadi 2018, imesema ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo, ikimanisha kuwa kwa wastani, mtoto mmoja alitoweka kila siku.