Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

DR Congo

Mhudumu wa afya akiwa katika hospitali ya Bikoro nchini DRC
UNICEF/Naftalin

UNICEF yachagiza mamia ya wahudumu kupambana na Ebola DRC

Katika hamasa ya kupambana na mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, leo shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, kwa ushirikiano na serikali na wadau, wanachagiza mamia ya wahudumu wa masuala ya kijamii kujiunga katika vita dhidi ya Ebola.