Ni muhimu wanawake wawakilishwe uongozini ili watatue changamoto zinazowakabili- Bi Emma Rubagumya
Usawa wa kijinsia ni moja ya lengo la malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ambaye yanafikia ukomo wake mwaka 2030 na nchi wanachama wanahaha kuyafanikisha kabla ya muda huo.