Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ni muhimu wanawake wawakilishwe uongozini ili watatue changamoto zinazowakabili- Bi Emma Rubagumya

Ni muhimu wanawake wawakilishwe uongozini ili watatue changamoto zinazowakabili- Bi Emma Rubagumya

Pakua

Usawa wa kijinsia ni moja ya lengo la malengo ya maendeleo endelevu ya Umoja wa Mataifa ambaye yanafikia ukomo wake mwaka 2030 na nchi wanachama wanahaha kuyafanikisha kabla ya muda huo.

Rwanda ni moja ya nchi ambazo imejizatiti katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwa kuzingatia umuhimu wake katika kutatua changamoto zinazowakumba wanawake na wasichana. Basi ungana na Arnold Kayanda na Bi Emma Rubagumya mbunge na  mwanakamati wa Kamati ya masuala ya jinsia katika Bunge la Rwanda akizungumzia kuhusu uwakilishi wa wanawake katika bunga na kazi za kamati anayohudumia

 

Audio Credit
Brenda Mbaitsa/ Emma Rubagumya
Audio Duration
3'53"
Photo Credit
UNnewskiswahili/Patrick Newman