Maji safi na maji taka vyote ni changamoto Nairobi Kenya
Uondoaji wa maji taka na upatikanaji wa maji safi ya kunywa vyote ni changamoto kubwa ambayo inakumba sehemu nyinyi na hasa miji ya nchi za Afrika. Kila mara mabomba ya maji taka hupasuka na kuvuja ambapo na ukarabati wa miundo mbinu muhimu kama hiyo huchukua muda mrefu na wakati mwingine kutelekezwa kabisa.