Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Jarida la Habari

© UNICEF/Eyad El Baba

Kuelekea mwezi wa 5 wa mapigano Gaza, kuna nuru ya sitisho la mapigano

Vita huko Gaza kati ya Israel na wanamgambo wa kipalestina Hamas ikiingia mwezi wa tano hii leo Jumatano na kuwa imesababisha vifo va wapalestina 27,585 na takribani 70,000 wamejeruhiwa, Mkuu wa masuala ya misaada ya dharura kwenye Umoja wa Mataifa amekaribisha dalili za mapema za uwezekano wa sitisho la mapigano linaloweza kufanikisha kuachiliwa huru kwa mateka wote waliosalia. 

Sauti
2'12"